Kithurawal

Kithurawal (au Kitharawal) kilikuwa lugha ya Kipama-Nyungan nchini Australia iliyozungumzwa na Wathurawal katika jimbo la New South Wales. Hakuna wasemaji ambao wamebaki kuongea Kithurawal, yaani lugha imetoweka kabisa. Kufuatana na uainishaji wa lugha kwa ndani zaidi, Kithurawal kiko katika kundi la Kiyuin.


Developed by StudentB